Bodimama

(Elekezwa kutoka Bodi mama)

Bodimama (kwa Kiingereza: Motherboard) ni kati ya printed circuit board (PCB) katika kompyuta nyingi na inawezesha mawasiliano katika mfumo wa vifaa vya elektroniki. Wakati mwingine hujulikana kama bodi kuu, mfumo wa bodi, bodi ya mantiki[1] na hata mobo tu.

Marejeo hariri

  1. Miller, Paul (2006-07-08). Apple sneaks new logic board into whining MacBook Pros. Engadget. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-10-04. Iliwekwa mnamo 2013-10-02.

Viungo vya nje hariri