Boeing 707 ni ndege ya saizi ya kati, ya masafa marefu na yenye injininne iliyotengenezwa na kampuni ya Boeing Commercial Airplanes mnamo mwaka1958 hadi mwaka 1979.
picha ya boeing 707
Ina uwezo wa kubeba abiria140 hadi 219. Ni ndege ya kwanza katika kampuni hiyo.