Bondo, Kenya
Bondo ni mji wa Kenya, mkubwa kuliko yote ya kaunti ya Siaya.
Bondo | |
Majiranukta: 0°14′57″N 34°16′26″E / 0.24917°N 34.27389°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Siaya |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 22,712 |
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2019, kuna wakazi wapatao 22,712 wanaoishi katika mji huo[1].
Watu mashuhuri
haririBondo inajulikana kama pahali kiongozi wa chama cha ODM na Azimio la Umoja Raila Odinga [2] alipozaliwa.
Tanbihi
hariri- ↑ https://www.citypopulation.de/en/kenya/cities/
- ↑ Raila Odinga hosts President Uhuru Kenyatta at his Bondo home., iliwekwa mnamo 2022-03-29
0°14′N 34°16′E / 0.233°N 34.267°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bondo, Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |