Booker Academy
Booker Academy ni shule ya kibinafsi inayomilikiwa na kampuni ya sukari ya Mumias, magharibi mwa Kenya. Ina shule ya watoto wachanga zaidi ("kindergarten"), shule ya msingi na shule ya upili.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Booker Academy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |