Vumatiti
Ndege wakubwa kiasi wa maji wanaojificha katika uoto wa vinamasi
(Elekezwa kutoka Botaurus)
Vumatiti | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Nusufamilia 2, jenasi 5:
|
Vumatiti ni ndege wakubwa wa nusufamilia Botaurinae na Tigrisomatinae katika familia ya Ardeidae ambao wana domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula samaki, amfibia na wadudu wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga tago lao kwa matawi, manyasi na mimea ingine katikati ya matete au juu ya miti. Tago limefichika kwa kawaida.
Spishi za Afrika
haririNusufamilia Botaurinae
- Botaurus stellaris, Vumatiti Mkubwa (Eurasian au Great Bittern)
- Botaurus s. capensis, Vumatiti Mkubwa Kusi (Southern Great Bittern)
- Botaurus s. stellaris, Vumatiti Mkubwa wa Ulaya (Great Bittern)
- Ixobrychus minutus, Vumatiti Mdogo (Little Bittern)
- Ixobrychus m. minutus, Vumatiti Mdogo wa Ulaya (Eurasian Little Bittern)
- Ixobrychus m. payesii, Vumatiti Mdogo wa Afrika (African Little Bittern)
- Ixobrychus m. podiceps, Vumatiti Mdogo wa Madagaska (Madagascan Little Bittern)
- Ixobrychus sturmii, Vumatiti Kibete (Dwarf Bittern)
Nusufamilia Tigrisomatinae
- Tigriornis leucolopha, Vumatiti-misitu (White-crested Bittern)
Spishi za mabara mengine
haririNusufamilia Botaurinae
- Botaurus lentiginosus (American Bittern)
- Botaurus pinnatus (Pinnated au South American Bittern)
- Botaurus poiciloptilus (Australasian Bittern)
- Dupetor flavicollis (Black Bittern)
- Ixobrychus cinnamomeus (Cinnamon Bittern)
- Ixobrychus dubius (Black-backed Bittern)
- Ixobrychus eurhythmus (Von Schrenck's Bittern)
- Ixobrychus exilis (Least Bittern)
- Ixobrychus involucris (Stripe-backed Bittern)
- †Ixobrychus novaezelandiae (New Zealand Bittern) imekwaisha sasa (miaka 1890)
- Ixobrychus sinensis (Yellow Bittern)
- Zebrilus undulatus (Zigzag Heron)
Nususfamilia Tigrisomatinae
- Tigrisoma fasciatum (Fasciated Tiger Heron)
- Tigrisoma lineatum (Rufescent Tiger Heron)
- Tigrisoma mexicanum (Bare-throated Tiger Heron)
- Zonerodius heliosylus (Forest Bittern)
Picha
hariri-
Vumatiti mkubwa
-
Vumatiti mdogo
-
Vumatiti kibete
-
Vumatiti-misitu
-
American bittern
-
Pinnated bittern
-
Australasian bittern
-
Black bittern
-
Cinnamon bittern
-
Black-backed bittern
-
Von Schrenck's bittern
-
Least bittern
-
Stripe-backed bittern
-
Yellow bittern
-
Fasciated tiger heron
-
Rufescent Tiger Heron
-
Bare-throated tiger heron