Brenda Sue Baker ni mwanasayansi wa kitarakilishi wa Marekani, anajulikana kwa mbinu ya Baker's kwa ajili ya makadirio ya algorithmu kwenye graphu zilizopangwa, kazi zake za awali ilikuwa ni programu ya kugundua kodi zilizojirudia na tafiti zake juu ya matatizo ya pipa za kupaki za pande mbili.

Alifanya shahada yake ya kwanza katika chuo cha Radcliffe, Alipata Ph.D. kutoka chuo kikuu cha Harvard mwaka 1973, tasnifu yake ilikuwa juu ya nadharia za otomatiki na lugha rasmi na alisimamiwa na Ronald V.Book[1]

Marejeo hariri

  1. "Brenda Baker - The Mathematics Genealogy Project". mathgenealogy.org. Iliwekwa mnamo 2022-09-09.