Brenda Odimba

Mwanaharakati

'

Brenda Odimba
Brenda Odimba
Kazi yakemhandisi na mwanaharakati wa Ubelgiji


Brenda Odimba (pia huandikwa Brända Audimba) ni mhandisi na mwanaharakati wa Ubelgiji. Odimba alikuwa mmoja wa wasemaji wa walioathiriwa na njaa mwaka 2021 wa wahamiaji wasio na hati nchini Ubelgiji.[1] Odimba alianzisha chama cha NewSisterhood.[2]

Maisha ya awali

hariri

Odimba alizalliwa Brussels. Baba yake alikuwa mbelgiji na mama yake akiwa amezaliwa Congo alikulia Ubelgiji, kama mfanya kazi asiekuwa na hati kwa miaka mingi.[3] Obimba alisoma katika Université libre de Bruxelles na Vrije Universiteit Brussel.Ni mhandisi aliyefunzwa[4]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brenda Odimba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.