Brendan Leahy (amezaliwa 28 Machi 1960) ni kiongozi wa Kanisa katoliki na mwana teolojia ambaye amehudumu kama Askofu wa Limerick tangu 2013.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Pope Benedict XVI appoints Father Brendan Leahy as Bishop of Limerick". Irish Catholic Bishops' Conference. 10 Januari 2013. Iliwekwa mnamo 2022-03-31.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.