Brenno (mwanasoka)

Brenno Oliveira Fraga Costa (anajulikana kwa jina la Brenno; alizaliwa [[1 Aprili] 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Brazili anayecheza kama golikipa katika klabu ya Grêmio.[1]

Ni kijana ambaye ni zao la klabu ya Desportivo Brasil, Brenno alsaini na klabu ya Grêmio 2017. Brenno alionyesha umahiri wake kwa Grêmio kwa kushinda bao 1-0 katika mshindano ya Campeonato Gaúcho dhidi ya klabu ya Internacional tarehe Machi 17, 2019.[2]

Juni 17, 2021, Brenno alitajwa katika kikosi cha Brazili cha Taifa katika mashindano ya olimpiki ya majira ya joto 2020.[3]

Marejeo

hariri
  1. "Ídolos, estreia em Gre-Nal e convivência com Renato Portaluppi: Conheça Brenno, goleiro do Grêmio". Minha Torcida (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-30.
  2. "Grêmio vs. Internacional - 17 March 2019 - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-30.
  3. "Seleção Olímpica é convocada para os Jogos Olímpicos de Tóquio 2020". Confederação Brasileira de Futebol (kwa Kireno (Brazili)). Iliwekwa mnamo 2021-11-30.