Brent Carelse

(Elekezwa kutoka Brent carelse)

Brent Carelse (alizaliwa 30 Machi 1981) ni alikua mchezaji wa soka wa nchini Afrika Kusini ambaye alicheza kama kiungo. Alichezea klabu mbalimbali za soka kama vile Hellenic, Ajax Cape Town, Mamelodi Sundowns, Supersport United, Chippa United na Cape Town All Stars, na soka la kimataifa katika timu ya taifa ya Afrika Kusini.

Ushiriki katika klabu

hariri

Mwezi wa Februari 2016, aliungana tena na klabu yake ya soka ya zamani Hellenic.[1]

Ushiriki kimataifa

hariri

Aliichezea timu ya taifa ya Afrika Kusini mara moja mwaka 2007.[2]

Kazi ya ukocha

hariri

Alichaguliwa kuwa kocha timu ya chini ya miaka 19 katika Cape Town City mwezi Machi 2017.[3]

Maisha binafsi

hariri

Carelse alizaliwa Westbury, eneo la kijiji kilicho nje ya Johannesburg. Yeye ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa timu ya soka Dougie Carelse.[4]

Marejeo

hariri
  1. "Former Ajax Cape Town & Mamelodi Sundowns Midfielder Playing In ABC Motsepe League". Soccer Laduma. 23 Februari 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-30. Iliwekwa mnamo 4 Oktoba 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. [1] at National-Football-Teams.com
  3. "Brent Carelse Appointed As Cape Town City U19 Coach". Soccer Laduma. 20 Machi 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-28. Iliwekwa mnamo 4 Oktoba 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Reiners, Rodney. "Ajax CT move for Carelse", Cape Argus, 31 Agosti 2010. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brent Carelse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.