Brian Bernard Cowen (alizaliwa 10 Januari 1960) ni mwanasiasa mstaafu kutoka Ireland ambaye alihudumu kama Taoiseach (Waziri mkuu) na Kiongozi wa Fianna Fáil kuanzia 2008 hadi 2011.

Cowen alihudumu kama Teachta Dála (TD) kwa jimbo la Laois–Offaly kutoka 1984 hadi 2011 na alishikilia nafasi mbalimbali za uwaziri kati ya 1992 na 2011, ikiwa ni pamoja na Waziri wa Fedha kutoka 2004 hadi 2008 na Tánaiste (Naibu Waziri Mkuu) kutoka 2007 hadi 2008.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Brian Cowen". Oireachtas Members Database. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 14 Mei 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Cowen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.