Brian Josephson

Tuzo Nobel.png

Brian David Josephson (amezaliwa 4 Januari 1940) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza nadharia ya upitishaji umeme. Mwaka wa 1973, pamoja na Leo Esaki na Ivar Giaever alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Brian Josephson
Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Josephson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.