Brian Umony

Brian Umony (amezaliwa 12 Desemba 1988 mjini Jinja, Uganda) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Uganda, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya FC Azam nchini Tanzania tangu mwaka 2013.

Brian Umony
Maelezo binafsi
Jina kamiliBrian Umony
tarehe ya kuzaliwa12 Desemba 1988 (1988-12-12) (umri 31)
mahali pa kuzaliwaJinja, Uganda
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2003–2004Nakawa United
2004–2007Naguru Avis
2007–2009Kampala City Council-(34)
2009–2010Supersport United12(2)
2010–2011University of Pretoria
2011Portland Timbers (loan)6(0)
2012Becamex Binh Duong12(1)
2013Azam0(0)
Timu ya Taifa ya Kandanda
2009–Uganda22(9)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 27 October 2011.

† Appearances (Goals).

‡ National team caps and goals correct as of 25 March 2013

Viungo vya njeEdit