The Bronx
(Elekezwa kutoka Bronx)
The Bronx ni moja kati ya sehemu za New York City, Marekani. Jina linatokana na Bronck's Farms, ambalo linamilikiwa na mlowezi mmoja aitwaye Jonas Bronck.
Viungo vya nje
hariri- I Love The Bronx
- The Bronx Zoo
- The New York Botanical Garden
- Wave Hill: New York Public Garden and Cultural Center Ilihifadhiwa 25 Novemba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Arthur Avenue (little italy) Ilihifadhiwa 2 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu The Bronx kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |