Brooklyn

Brooklyn ni moja kati ya sehemu za mji wa New York City. Daraja la Brooklyn ni daraja mshuhuri katika mji wa Brooklyn. Brooklyn ni moja kati sehemu zilizomaarufu sana.

Hii ni ramani ya New York City. Mahali panapo rangi ya njano ndiyo sehemu ya Brooklyn.
47th Street, Brooklyn

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Brooklyn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.