Bruno Bianco
Bruno Bianco Leal amezaliwa 9 Januari 1982 ni mwanasheria na mwanasiasa wa Brazil ambaye alihudumu kama katibu msaidizi maalum wa Usalama wa Jamii na Ajira katika Wizara ya Uchumi Brazil, kuanzia Januari 2019 hadi Agosti 2021, Alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Brazil katika utawala wa Jair Bolsonaro, kutoka Agosti 2021 hadi Desemba 2022.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bruno Bianco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |