Budapest
Budapest ni mji mkuu wa Hungaria, pia mji wake mkubwa wenye wakazi milioni 1.7.
Mto Danubi unatiririsha maji kupitia Budapest.
Mji wa leo ulianzishwa mwaka 1873 kwa kuunganisha miji mitatu ya jirani ya Buda, Obuda na Pest.
Jiografia
haririBupapest iko mahali ambako mto Danubi umetoka katika milima ya Hungaria ya Kati na kuingia katika tambarare. Mahali pa juu mjini ni mlima Janos wenye kimo cha mita 527.
Picha
haririUtamaduni
hariri- Budapest tourism info Portal Archived 31 Oktoba 2023 at the Wayback Machine.
- Info Budapest
- Information portal about Budapest Archived 28 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
- History of Budapest Archived 17 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- Budapest tourist map Archived 6 Desemba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Budapest kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |