Bujumbura Vijijini

Bujumbura Vijijini (kwa Kifaransa: Bujumbura Rural) ni kati ya wilaya 18 za Burundi.

Bujumbura Rural Province
Burundi - Bujumbura Rural.svg
Nchi Bendera ya Burundi Burundi
Eneo
 - Wilaya 1,319.12 km²

Eneo lake linazunguka wilaya ya mji mkuu wa nchi. Wakazi wamezidi 550,000.

HistoriaEdit

Iliundwa kwa kugawa Mkoa wa Bujumbura kati ya Bujumbura Mjini na Bujumbura Vijijini.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bujumbura Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Majiranukta kwenye ramani: 3°22′44″S 29°21′39″E / 3.37889°S 29.36083°E / -3.37889; 29.36083

Mikoa ya Burundi  
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-