Bukarest (kwa Kiromania: București) ni mji mkuu wa Romania. Ni pia mji mkubwa wenye wakazi milioni 2.3.

Sehemu mojawapo ya mji wa Bukarest ulioko ndani ya nchi ya Romania
Bukarest

Bendera

Nembo
Majiranukta: 44°25′57″N 26°6′14″E / 44.4325°N 26.10389°E / 44.4325; 26.10389
Nchi Romania
Mkoa Ilfov
Idadi ya wakazi (2002)
 - 1.942.254
Tovuti: http://www.pmb.ro/
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bukarest kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.