2°11′04″N 22°28′13″E / 2.18444°N 22.47028°E / 2.18444; 22.47028

Ramani ya Bumba,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Bumba ni mji wa mkoa wa Mongala katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Idadi ya wakazi ni 107,307 (2012[1]).

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Congo (Dem. Rep.): largest cities and towns and statistics of their population". World Gazetteer. Archived from the original on May 22, 2011. Retrieved January 21, 2009
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bumba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.