Hospitali ya Bumbuli
(Elekezwa kutoka Bumbuli hospitali)
Hospitali ya Bumbuli ni moja ya taasisi kubwa sana ya kitabibu inayosimamiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya kaskazini Mashariki. Ni moja ya hospitali kubwa sana iliyojengwa na Wajerumani katika eneo hilo la Bumbuli ili iwahudumie wakazi wa eneo hilo.