Bungeni
Bungeni 2.0 ni mfumo wa kiteknolojia wa kuandika sheria na kurekodi shughuli za wabunge ambayo inalenga kutumiwa na wabunge katika maamuzi yao ndani ya bunge, huku wakiwezesha wananchi kuweza kushiriki katika majadiliano na uamuzi wao.
Mfumo huu unawezesha wananchi kushiriki pamoja na wabunge, kana kwamba wako "ndani ya Bunge" au "Bungeni".
Bungeni ni mfumo wa maendeleo shirikishi inayotumia Programu msingi ya viwango, AKOMA NTOSO inayotumiwa kama suluhisho la kuandaa, kusimamia, kuimarisha na kuchapisha nakala za bunge na nakala zingine .
Bungeni ilianzishwa na mpango wa "Africa i-parliaments Action plan" mpango wa UN / desa
Jukumu
Jukumu la Bungeni ni kuwasiliza vyombo vya kiteknolojia ambavyo vinaweza kuhamasisha uandishi na uimarishaji wa sheria katika Bunge. Huwasilisha vyombo vya kuandaa, kuhariri na kuchapisha nakala mbalimbali za kisheria.
Tazama Pia
hariri- Africa i-parliaments Action Plan Ilihifadhiwa 10 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |