Buryatia
Buryatia ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Russia. Mji mkuu wake ni Ulan-Ude.
Wenyeji wa Buryatia ni Waburyati wanaotumia lugha ya Kiburyati ambayo ni moja ya lugha za Kimongolia.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Buryatia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |