Buta

Muji mku ya Bas Uélé ku Jamuuri ya ki Demokratia ya Congo

Buta ni mji mkuu wa mkoa wa Uele Chini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 50,130.

Maandamo ya kanisa katoliki katika Mji wa Buta mnamo Mwaka 2015


Buta
Buta is located in Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Buta
Buta

Mahali pa mji wa Buta katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Majiranukta: 2°48′0″N 24°44′0″E / 2.80000°N 24.73333°E / 2.80000; 24.73333
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mkoa Uele Chini
Wilaya Buta
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 50,130

Tazama pia

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Buta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.