Cecil Frank Powell
(Elekezwa kutoka C. F. Powell)
Cecil Frank Powell (5 Desemba 1903 – 9 Agosti 1969) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza vijipande vya atomu. Mwaka wa 1950 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cecil Frank Powell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |