CASBEE
CASBEE (Comprehensive Assessment System for Built Environment Efficiency) ni mfumo wa usimamizi wa ujenzi wenye malengo ya kupunguza athari za mazingira nchini Japani.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Welcome to CASBEE website!!". www.ibec.or.jp. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |