Campo Grande ni jina la mji mkuu wa jimbo la Mato Grosso do Sul katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 750,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 592 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Campo Grande








Campo Grande

Bendera
Nchi Brazil
Kanda Center-West
Jimbo Mato Grosso do Sul
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 755,107
Tovuti:  www.campogrande.ms.gov.br
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Campo Grande kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.