Cardiff City ni klabu ya soka inayopatikana katika mji wa Cardiff, Wales ambayo inashiriki katika mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu nchini Uingereza.

Uwanja wa timu ya Cardiff City
Uwanja wa timu ya Cardiff City

Ilianzishwa mwaka 1899 kama Riverside AFC, klabu hiyo ilibadilisha jina lake kuwa Cardiff City mwaka 1908 na kujiunga na mfumo wa ligi ya soka ya Kiingereza mwaka 1910, kushindana katika Ligi ya Soka ya Kusini kabla ya kujiunga na Ligi ya Soka mwaka wa 1920. [1]

Ndio klabu pekee kutoka nje ya Uingereza hadi wameshinda Kombe la FA mwaka 1927. Pia wamefikia fainali nyingine za makombe matatu katika mashindano ya uingereza, mwaka 1925 Kombe la FA dhidi ya Sheffield United, na tena mwaka 2008 Kombe la FA dhidi ya Portsmouth na mwisho Kombe la Soka la 2012 dhidi ya Liverpool F.C..[2]

Marejeo hariri

  1. Tucker, Steve (9 May 2012). "The obscure story of Cardiff City's blue kit and nickname". WalesOnline. Media Wales. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 August 2017. Iliwekwa mnamo 21 August 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Unknown parameter |df= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Shepherd, Richard (19 March 2013). "1899–1920 Foundations & the Early Years". Cardiff City F.C. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-22. Iliwekwa mnamo 22 January 2017.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Cardiff City kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.