Casey Motsisi

Mwandishi na mwanahabari wa Afrika Kusini

Casey "Kid" Motsisi (1932 - 1977) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika hadithi fupi na insha katika gazeti la Drum.

Maandishi yake hariri

  • Casey & Co. (maandishi mbalimbali, 1978)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Casey Motsisi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.