Cassandra Harris

Cassandra Harris (15 Desemba 194828 Desemba 1991) alikuwa mwigizaji wa filamu wa kike kutoka nchini Australia. Pia alikuwa mke wa mwigizaji na mtayarishaji wa filamu Pierce Brosnan. Sababu ya kifo chake ilikuwa kensa.

Cassandra Harris.

Viungo vya NjeEdit

Tovuti Rasmi ya Cassandra Harris

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cassandra Harris kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.