Catherine Cadière
Mwanamke wa Ufaransa anayedaiwa kuwa mchawi
Catherine Cadière, au Marie-Catherine Cadière (Toulon, 12 Novemba 1709 - mwaka wa kifo haujulikani) alikuwa mwanamke Mfaransa anayedaiwa kuwa mchawi.
Kesi ya Catherine Cadière mnamo 1731 ni moja ya zile maarufu zaidi katika historia ya Ufaransa, na imekuwa ikirejelewa mara nyingi katika fasihi, hasa katika riwaya ya ponografia Thérèse philosophe.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Robbins, Rossell (1974). The Encyclopedia of Witchcraft and Demonology (tol. la Twelfth). New York, N.Y.: Crown Publishers, Inc. uk. 70.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Catherine Cadière kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |