Catherine Callaghan
mwanaisimu wa Marekani
Catherine "Cathy" Callaghan (Oktoba 31, 1931 - Machi 16, 2019) alikuwa Profesa mstaafu katika idara ya Isimu katika Chuo kikuu cha jimbo la Ohio huko Columbus,[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Catherine Callaghan", Department of Linguistics, 2013-05-15. (en)
- ↑ "In Memoriam: Cathy Callaghan". linguistics.osu.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-07-15.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Catherine Callaghan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |