Catholic Encyclopedia

Catholic Encyclopedia, au Old Catholic Encyclopedia au Original Catholic Encyclopedia, ni kamusi elezo ya Kiingereza kutoka Marekani ambayo inafafanua vidahizo kuhusu Kanisa Katoliki.

Jalada la Encyclopedia ya Kikatoliki ya 1913, Toleo la 1
Jalada la Encyclopedia ya Kikatoliki ya 1913, Toleo la 1

Gombo la kwanza lilitolewa mnamo Machi 1907. [1][2]. Toleo hili linapatikana bure katika intaneti kwa wasomaji wote.

Tanbihi

hariri
  1. Preface to the Catholic Encyclopedia
  2. "Scan of "Preface"". El Cajon, California: Catholic Answers. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-22. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2010.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Catholic Encyclopedia kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.