Ceboruco ni mlima wa volkeno nchini Meksiko katika Amerika ya Kaskazini.

Una kimo cha mita 2,280 juu ya UB.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ceboruco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.