Cecilia, Mlima wa Meza
Sehemu ya hifadhi ya Mlima wa meza
Cecilia ni sehemu ya Mbuga ya Taifa ya milima meza kwenye miteremko ya chini ya mashariki ya Mlima Meza huko Cape Town, iliyoko kusini mwa Bustani ya Kitaifa ya Mimea ya Kirstenbosch.
Hapo awali ilitumika kwa ukataji miti kibiashara na ikijulikana kama Msitu Cecilia, lakini sasa imepewa hadhi ya kulindwa na kuunganishwa katika Hifadhi ya Kitaifa.[1]
Picha
haririMarejeo
haririMakala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|