Chama cha Wafanyakazi Zanzibar

Chama cha Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) ni umoja wa vyama vya wafanyakazi kisiwa cha Zanzibar, nchini Tanzania. Kiliundwa mnamo mwaka 2002 kutokana na muungano wa vyama 9 vya wafanyakazi katika mikoa ya Zanzibar.

ZATUC ina uhusiano na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi vya Kimataifa.[1]

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-05-14. Iliwekwa mnamo 2021-08-18.