Chanelle Scheepers
Mcheza tenisi wa Afrika Kusini
'
Chanelle Scheepers | |
---|---|
Chanelle Scheepers katika 2013 Roland Garros | |
Amezaliwa | Machi 13, 1984 |
Kazi yake | mchezaji wa tenisi |
Chanelle Scheepers (/ʃəˈnɛl ˈʃiːpərz/ shə-NEL SHEEP-ərz; alizaliwa Machi 13, 1984) ni mwanamke mchezaji wa tenisi kutoka Afrika Kusini anayecheza kiufundi.
Ameshinda taji moja katika mashindano ya WTA kwa upande wa wachezaji wanaocheza kwa mtu mmoja, na taji 20 katika mashindano ya ITF(Women's Circuit) kwa timu. Mnamo Oktoba 10, 2011, alifikia kiwango cha juu cha kibinafsi cha 37 ulimwenguni. Mnamo Aprili 10, 2014, alishika nafasi ya 42 katika ubao wa ubora wa wachezaji kwa upande wa wanawake.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chanelle Scheepers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |