Charles William Bachman III [1](Disemba 11, 1924 - Julai 13, 2017) mtaalamu wa kompyuta wa Marekani, aliyetumia miaka yake ya kazi kama mtafiti wa viwanda, usanifu wa programu na meneja sana sana kuliko mambo ya kitaaluma. Amejulikana hasa kwa ajili ya kazi zake za awali za kusanifu mifumo ya kusimamia kazidata. Michoro ya Bachman[2] ni miongoni mwa mbinu zake za safu za kisanifu zilizopewa jina lake.

Marejeo hariri

  1. Charles Bachman | Biography & Facts | Britannica (en). www.britannica.com. Iliwekwa mnamo 2022-09-09.
  2. Bachman diagram (en). Academic Dictionaries and Encyclopedias. Iliwekwa mnamo 2022-09-09.