Charles Kimei (amezaliwa 14 Agosti 1953) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Vunjo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kupitia tiketi ya CCM ambapo ataongoza jimbo hilo kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia 2020-2025.[1][2]

Charles Kimei
Amezaliwa04 Agosti 1953
UtaifaMtanzania
Kazi yakeMchumi, mwanasiasa
Miaka ya kazi1978-hadi sasa

Marejeo hariri

  1. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/dk-charles-kimei-ashinda-ubunge-vunjo-3014312
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-12. Iliwekwa mnamo 2021-02-01.