Charlotte Hornets
Charlotte Hornets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Charlotte, North Carolina. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Terry Rozier.
Viungo vya NjeEdit
- Official website of the Hornets Archived Septemba 24, 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charlotte Hornets kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |