Chegutu ni mji wa Zimbabwe, katika mkoa wa Mashonaland Magharibi.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa kuwa 66,000[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chegutu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.