Chetezo (kwa Kiingereza "thurible") ni kifaa kinachotumika kufukizia matakatifu kwa kupakaza moshi wa ubani hasa wakati wa ibada.

Chetezo na vinginevyo (museum De Crypte, Gennep, Uholanzi).
Padri na shemasi wa Kiorthodoksi wakiingia na chetezo altareni kwa Masifu ya jioni.
Chetezo cha dhahabu cha Kiorthodoksi kikiwa na minyororo minne na kengele.

Desturi hiyo ya Israeli imeenea katika Ukristo na madhehebu yake mengi, ingawa si yote[1].

Nje ya dini, chetezo kinatumika pengine katika ushirikina na mikutano ya Wamasoni n.k.[2][3]

Tanbihi hariri

  1. Herrera, Matthew D. Holy Smoke: The Use of Incense in the Catholic Church. San Luis Obispo: Tixlini Scriptorium, 2011. http://www.scribd.com/doc/170397802
  2. Michno, Dennis G. (1998). "The Holy Eucharist-Concerning the Use of Incense at the Eucharist". A Priest's Handbook - The Ceremonies of the Church. Harrisburg, PA: Moorehouse Publishing. ISBN 0-8192-1768-9. 
  3. Crowley, Aleister (1997). "Chapter XVI: The Magick Fire; With Considerations of the Thurible, the Charcoal, and the Incense". Magick. York Beach, ME: Samuel Weiser. ISBN 0-87728-919-0. 

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chetezo kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.