Chicago Bulls

Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani

Chicago Bulls ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Chicago, Illinois. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Derrick Rose.

Timu ya mpira wa kikapu nchini Marekani

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Chicago Bulls kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.