Chiharu Hokaze (帆風 千春 Hokaze Chiharu?) (amezaliwa 26 Aprili) ni mwigizaji wa sauti na mwimbaji kutoka Mkoa wa Hyogo, Japani[1].

Chiharu Hokaze
Alizaliwa 26 Aprili
Kazi yake mwigizaji wa filamu
Miaka ya kazi 2016 -
Tovuti Rasmi nanabunnonijyuuni.com/sp/artist/hokaze

Mwigizaji Hokaze anacheza kama[2] Reika Satō (佐藤 麗華 Satō Reika?), msichana wa miaka 17.

Filamu alizoigiza hariri

Anime

  • 2020:22/7 - Reika Satō

Marejeo hariri

  1. "22/7(ナナブンノニジュウニ)". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-03. Iliwekwa mnamo 2019-08-23. 
  2. "帆風千春が正式リーダーに就任". BARKS (kwa Kijapani). Iliwekwa mnamo 2019-04-03. 

Viungo vya nje hariri


  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chiharu Hokaze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.