Chihuahua, Chihuahua

Chihuahua ni mji mkuu katika jimbo la Chihuahua. Kuna wakazi 748,551 (2005), na pamoja na rundika la mji ni 800,000. Mji upo m 1460 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 8,372 km².

Sehemu za Mji wa Chihuahua, Chihuahua


Jiji la Chihuahua
Nchi Mexiko
Jimbo Chihuahua
Idadi ya wakazi
 - 1,133,814
Tovuti: www.municipiochihuahua.gob.mx

Mji ulianzishwa na Antonio Deza y Ulloa mwaka 1709.

Location Chihuahua.png
Mexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chihuahua, Chihuahua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.