Chikwawa ni mji ulioko kusini mwa Malawi.

Benki za upande wa mashariki wa barabara kuu kupitia Nchalo, Wilaya ya Chikwawa, Malawi.
Benki za upande wa mashariki wa barabara kuu kupitia Nchalo, Wilaya ya Chikwawa, Malawi.

Mwaka 2018 ulikadiriwa kuwa na wakazi 6,114[1].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chikwawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.