Chioma Chukwuka (alizaliwa Oraifite, Anambra State , Nigeria, 12 Machi 1980) ni mwigizaji wa Nollywood Nigeria. Mwaka 2007 aliibuka mshindi wa Afrika Kisasa Academy Award kwa 'Muigizaji bora katika mhusika mkuu'.[1][2]

Chioma Chukwuka
Amezaliwa 12 Machi 1980 (1980-03-12) (umri 44) Nigeria
Jina lingine Chioma Chukwuka - Akpotha
Kazi yake Muigizaji
Ndoa 2006

Historia hariri

Mwaka 2007 Chukwuka alipokea 'Muigizaji Bora katika mhusika mkuu' tuzo katika Tuza ya Filamu Bora Afrika kwa ajili ya filamu Dhambi ya mwili. [3] Chukwuka ameigiza katika zaidi ya Filamu 80 za Nollywood .[4]

Filamu hariri

  • Mchanga mwekundu (2008)
  • Michezo maradufu (2007)
  • Kalio kwenye moto (2006)
  • Chanika (2006)
  • Chinwe Okeke (2006)
  • Waliokufa katika Imani (2006)
  • Azimio kuu (2006)
  • Mwisho wa Majadiliano (2006)
  • Michezo Yenye Wanauma hucheza (2006)
  • Familia takatifu (2006)
  • Sakata ya mwisho (2006)
  • Uchi na Dhambi (2006)
  • Siku Ya Harusi Yangu(2006)
  • Royal Kiyama (2006)
  • Royal tusi (2006)
  • Mtakatifu (2006)
  • Mwokozi (2006)
  • Nyoka katika Paradiso (2006)


  • Sauti ya pendo (2006)
  • Mapenzi ya ajabu (2006)
  • Machozi Moyoni (2006)
  • Mikosi ya kijumla (2006)
  • Mshtuko (2006)
  • Hekima ya Miungu (2006)
  • Zoza (2006)
  • Azima (2005)
  • Mabiharusi (2005)
  • Bibiharusi wa Tai(2005)
  • Malaika bandia (2005)
  • Mwezi wa dhahabu (2005)
  • Kukujua wewe (2005)
  • Wakti wa Ukweli (2005)
  • Penzi la kweli 2 (2005)
  • Penzi la kweli 3 (2005)
  • Mapokeo takatifu (2005)
  • Adamu wa pili (2005) (V)


  • Dhambi ya mwili (2005)
  • Vita ya Vita (2005)
  • Miaka ya Machozi (2005)
  • Mduara wa Machozi (2004)
  • Mchezo mchafu (2004)
  • Mvua nzito (2004)
  • Kutamani nyumbani (2004)
  • Kumbukumbu (2004) (V)
  • Ahidi & kufeli (2004)
  • Mbili kuwa moja (2004)
  • Ahadi iliovunjwa (2004
  • Kujipendekeza (2003)
  • Mtanashati (2003)
  • Penzi lakweli (2003)
  • Pendo la Kweli (2003)
  • Mugongano wa mwisho (2002)
  • Machweo (2002) (V)


Viungo vya nje hariri


Marejeo hariri

  1. AMAA 2007: List of Winners and Nominees. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-03-05. Iliwekwa mnamo 7 Desemba 2009.
  2. [4] ^ Chioma Chukwuka katika NigeriaMovies.com Archived 16 Mei 2010 at the Wayback Machine.
  3. [5] ^ Wasifu mfupi katika IMDB.com
  4. Orodha ya sinema ya Chioma Chukwuka. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-01-17. Iliwekwa mnamo 2009-12-11.