Chizuru Arai
Chizuru Arai (alizaliwa 1 Novemba 1993) ni raia wa Japani aliyeshinda medali ya dhahabu na fedha katika michezo ya Olimpiki ya msimuwa majira ya joto wa mwaka 2020 kwenye kundi la watu wenye uzito wa kilo 70 wa mchezo wa judo uliyohusisha timu mchanganyiko katika hafla hiyo. Chizuru Arai kwa sasa amestaafu Judo.