Armadilo

(Elekezwa kutoka Chlamyphoridae)
Armadilo
Armadilo mishipi-tisa (Dasypus novemcinctus)
Armadilo mishipi-tisa (Dasypus novemcinctus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Nusungeli: Eutheria
Oda ya juu: Xenarthra
Oda: Cingulata
Ngazi za chini

Familia 4:

Armadilo (kutoka Kihispania: armadillo) ni wanyama wadogo wa Amerika wenye mabamba ya mifupa juu ya mgongo yao. Wanafanana na kakakuona wa Afrika na Asia kijuujuu.

Spishi hariri

Oda CINGULATA

  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Armadilo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  Makala hii kuhusu "Armadilo" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili armadillo kutoka lugha ya Kihispania. Neno (au maneno) la jaribio ni armadilo.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.