Chombo cha kukamulia cha Warangi

Chombo cha kukamulia cha Warangi ni chombo kama kinu kidogo. Kwa Kirangi huitwa "kɨremo". Chombo hicho hutengenezwa kwa mti laini. Hutumika kwa kukamulia maziwa. Kina mkono kwa ajilii ya kushika wakati wa kukamua. Ukubwa wake labda ungefaa kwa lita moja ya maziwa.

Chombo cha kukamulia kilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Marejeo hariri

  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chombo cha kukamulia cha Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.